Hoziana songbook · Song 13

NI HERI KWENDA MBINGUNI

Musical keySolScripture1 Abates. 4:16Archive statusComplete
Full lyrics4 sections

I.Ni heri kwenda mbinguni
Kwenye raha njema,
Kuliko kuipenda dunia ya majuto /2

Mke: Mwokozi aniita
Mume: Mwanangu
Mke: Mwokozi aniita
Mume: Mwanangu
Mke: Kimbia sana
Mume: Ufike
Mke: Rahani mwangu
Mume: Oooh
Wote: Nakwenda kwake Yesu
Mume: Nakwenda
Mke: Nikaone uzima
Mume: Mbinguni
Mke: Mala,
Mume: Yika wanamwimbia
Mke: Mungu,
Mume: Haleluya /4 amena
Wote: Nami ni kaimbe haleluya aaaa, /4

II.E ndugu yangu kumbuka
Dunia hii mbaya
Usichelewe mbinguni
Mwito wake Bwana /2

III.Vigelegele mbinguni
Vitakuwa vingi
Wa malaika mbinguni
Kwa kutupokea /2